Umoja wa Mataifa kwenye Mitandao ya Kijamii

Katibu Mkuu António Guterres (kushoto) akutana na mwanaharakati wa tabianchi Greta Thunberg wakati wa tukio la Instagram mbashara kwenye Kituo ch Kimataifa cha Vienna mwaka 2019. UN Photo/Nikoleta Haffar

Akaunti rasmi za mitandao ya kijamii ya UN

 

 

 

The Facebook logo

Facebook

 

 

 

 

 

 

The Twitter logo

Twitter

 

 

 

 
 
 

 

 

You Tube logo

YouTube

 

 

 

 

 

Instagram logo

Instagram

 

 

 

 
 
 

 

 

Kanusho

Umoja wa Mataifa hauhakikishi ukweli, ukamilifu, au kufaa kwa maoni yoyote yanayowekwa kwenye machapisho yake ya kijamii (blogu, mitandao ya kijamii, majukwaa/bodi za ujumbe, n.k.) Watumiaji hawapaswi kuweka maoni yenye lugha chafu, yanayokashifu, yanayotisha, ya kukera, ya kutusi, chuki au ya kutia aibu kwa mtu au kikundi chochote. Umoja wa Mataifa una haki ya kufuta au kuhariri maoni yoyote unayotizama kuwa hayafai au hayakubaliki. Timu ya UN ya mitandao ya kijamii pia hufuta maoni yanayokwenda nje ya nada inayojadiliwa ili kuendeleza mazungumzo kuhusu nada zinazowekwa kwenye ukurasa huu.