Walinda amani wanawake kutoka Tanzania wakiwa na wanawake na watoto.
UN News
Superintendent Malla (kulia).
Mrakibu wa Nepal Sangya Malla alisaidia kuanzisha Kitengo cha Afya na Mazingira, na kuimarisha usalama na ustawi wa wadumisha amani.
Military Gender Advisor Steplyne Nyaboga
Fedha zinazotumwa na wahamiaji waishio ugaibuni kwa jamii nyumbani zinasaidia watu milion 800 ulimwenguni kote
UN News
Wasichana nchini Liberia wakifuatilia taarifa katika simu ya mkononi
UN News
Shemison Banda, kutoka Lilongwe Malawi ni baba wa kipekee kwa familia yake kwa kuwa anasaidia mkewe kazi za nyumbani.
UN News
Muuguzi katika kituo cha afya cha Elmina nchini Ghana akiweka katika bomba la sindano chanjo dhidi ya homa ya vichomi au numonia.
UN News
Watoto wakiwa kwenye kituo chao cha kucheza ambacho ni salama. Kituo kimeanzishwa na UNICEF.
UN News
Jackline Urujeni from Rwanda
-Okwa Morphy kutoka Nijeria, nahudumu Sudan Kusini
Mwanamke akipita pembeni ya gari la wagonjwa ndani ya hospitali ya Benadir mjini Mogadishu, Somalia.
UN News
Wanafunzi wakiwa katika moja ya vipindi maalum kwenye Radio Miraya ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini, UNMISS
UN News
Mwanamke raia wa Somalia akiwa na mtoto wake wa umri wa mwaka mmoja katika kituo cha Ganfoda karibu na Benghazi baada ya kuyakimbia machafuko katika nchi yake na kuingia kinyume cha sheria Libya.
UN News
Muuguzi akiandaa chanjo ya kuchanja mtoto katika kliniki Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
UN News
Hapa ni Kaya nchini Burkina Faso, watoto wakicheza ndani ya hema, ikiwa ni eneo rafiki la kucheza kwa watoto wakimbizi wa ndani waliofurushwa makwao kutokana na mzozo nchini humo.
UN News
Familia kutoka Idlib zikipotelea vita na usalama huko Afrin uko serikali ya vijijini ya Aleppo mnamo January.
UN News
Nchini Syria watoto wakibebwa kwenye lori wakati familia zikikimbia machafuko jimbo la Idlib.
UN News
Nchi zilizoendelea kama Marekani, watoto wanaendelea na masomo kwa njia ya mtandao wakiwa nyumbani katika kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona
UN News
Taswira kupitia dirisha la chuma ikionyesha mazingira ya wahamiaji waliolala kwenye magodoro sakafuni kwenye moja ya vituo vya kushikilia wahamiaji nchini Libya
UN News
Ndugu wawili Romeu na Kulutwe kutoka Angola wakiwa na familia zao wakivuka mto Tuquesa kuelekea Bajo Chiquito ambacho ni kijiji cha kwanza nchini Panama katika mpaka wa Colombia
UN News