Cristina Duarte, Katibu Mkuu Kiongozi wa UN na Mshauri Maalum wa Afrika

Misusuru ya majadiliano ya Africa Dialogue Series: Kutumia utamaduni kukuza maendelo

Utamaduni tajiri wa Afrika unastahili kwenda zaidi ya mapambo ya kisanii, muziki au densi na kuonyesha mfumo thabiti wa maadili unaoyakumbatia mabadiliko, kukuza ubunifu na kuchangia kwa ulimwengu.